HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kufa Kupona : Kibarua cha kuchorwa mwilini kwa ajili ya urembo sio rahisi

Kutoboa masikio jinsi watu wa jamii ya kimaasai wanavyofanya sio jambo rahisi.
Mwanzo kuna uchungu , kisha haiwezekani kuziba tena lile tundu. kisha kuna jamaa wanaochora tatoo kwenye mili yao. Wakivumilia uchungu, na pia kuishi na michoro hiyo maisha.
Kwenye makala ya Kufa Kupona wiki hii, Frankline Macharia anaangazia mitindo hiyo, katika harakati za kusaka urembo.

Show More

Related Articles