Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kenyatta na Ruto leo warindima Kwale na Kilifi

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wamemkashifu aliyekuwa wakati mmoja kigogo wa siasa kutoka kaunti ya Kwale Chirau Ali Mwakwere kwa kudai kuwa anaeneza propaganda kuhusiana na suala zima la ardhi eneo hilo.

Kwenye ziara yao katika eneo la Lunga Lunga kaunti ya Kwale, rais na naibu wake wamemtaka Mwakwere kukoma kumtisha gavana wa sasa wa Kwale Salim Mvurya aliyehamia Jubilee.

Show More

Related Articles