HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais Kenyatta ahimiza amani wakati na baada ya uchaguzi

Rais Uhuru Kenyatta hii leo ameliongoza taifa katika hafla ya maombi ya kitaifa ambayo huandaliwa kila mwaka katika hoteli ya Safari Park hapa jijini Nairobi.
Rais Kenyatta, amewarai wakenya kudumisha amani, huku akiongeza kuwa taifa hili litasalia kuwepo pai na kuzingatia ni nani atakayechaguliwa wakati wa uchaguzi ujao.
Aidha amewataka wakenya kukumbatia amani kwa ustawi wa nchi.

Show More

Related Articles