HabariMilele FmSwahili

Watu 3 wafariki baada ya gari lao kukanyaga kilipuzi Garissa

Watu watatu wameripotiwa kuuwawa baada ya gari walimokuwa wakisafiria kukanyaga kilipuzi katika kaunti ya Garissa. Mtu mwengine mmoja amejeruhiwa. kisa hiki kimetokea katika bara bara ya Malelei-Kulan  kaunti ya Garisa.

Show More

Related Articles