HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mshukiwa anayedaiwa kuwaua watoto 3 afikishwa kortini,Eldoret

Mahakama mjini Eldoret imeamuru mshukiwa mkuu wa mauaji yawatoto watatu wa mwaniaji kiti cha uwakilishi wadi ya kapsoya kaunti ya uasin gishu azuiliwe kwa siku 10 zaidi.
Upande wa mashtaka uliiomba mahakama kumzuilia Enock Osanzi kwa siku kumi zaidi kuwapa muda kukamilisha uchunguzi baada ya mashtaka ya mshukiwa kubadilishwa kutoka kosa la kuteka nyara hadi kosa la kuua.
Wakati huo huo wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu mjini Eldoret wametoa wito kwa maafisa wa upelelezi kufanya uchunguzi wao kikamilifu kwani huenda mauaji hayo yalitekelezwa na watu wengine.

Show More

Related Articles