HabariK24 TvSwahiliVideos

Mke amuua mumewe kwa kuchelewa kufika nyumbani Maralal

Mwanamke mmoja kutoka kaunti ya Samburu anazuiliwa na polisi baada ya kumuua kwa kumdunga kisu mumewe kwa kosa la kufika nyumbani akiwa amechelewa ilhali alikuwa mlevi.
Mwanamke huyo anadaiwa kushirikiana na majirani katika kujaribu kuficha ushahidi lakini juhudizao hazukufanikiwa.

 

Show More

Related Articles