HabariMilele FmSwahili

Shule na Vyuo vikuu kufungwa tarehe 4 Agosti kwa ajili ya uchaguzi mkuu

Shule zote na vyuo vikuu vitafungwa kwa muda wa wiki mbili kuanzia tarehe nne mwezi Agosti kuruhusu uchaguzi mkuu kuandaliwa. Waziri wa elimu Dr Fred Matiang’ anasema ameafikia uamzi huo ili kuwaruhusu wanafunzi kuwa nyumbani wakati wa zoezi hilo. Akiwahutubia wakuu wa elimu Nairobi,Matiang’ amesema IEBC itawajibikia uharibu wa aina yeyote katika shule husika.

Show More

Related Articles