Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Sonko amtambulisha Polycarp Igathe kama mgombea mwenza

Hatimaye seneta wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko amemtangaza rasmi Polycarp Igathe kuwa mgombea mwenza kwenye kinyang’anyiro cha ugavana Nairobi.
Sonko na Igathe ambao wamepokelewa na naibu wa rais William Ruto katika makao makuu ya chama cha Jubilee, wamesema wako tayari kubadilisha taswira ya jiji kuu la Kenya, kwa kuweka misingi ya maendeleo na ustawi wa jiji.
Mwanahabari wetu Kiama Kariuki amehudhuria hafla hiyo ambapo Jubilee imeahidi kuwasaidia Sonko na Igathe kwa udi na uvumba kushinda kiti cha Nairobi.

Show More

Related Articles