HabariMilele FmSwahili

Mututho akosoa utendakazi wa NACADA

Aliyekuwa mwenyekiti wa mamlaka ya NACADA John Mututho amekosoa utendakazi wa mamlaka hiyo akitaka ifanyiwe mabadiliko. Mututho anasema kumekuwa na ongezeko la pombe haramu  nchini baada ya kuondoka kwake. Ametaja kuwepo kwa pombe kwa ajina simba kutoka Uganda  anayosema haina viwango stahili vya ulevi. Anasema aina ya pombe hiyo imepigwa marufuku humu nchini.

Show More

Related Articles