HabariMilele FmSwahili

Muthama ataka Kalonzo kumkabidhi cheti cha useneta Machakos

Seneta wa Machakos Johnstone Muthama amemtaka kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka kueleza ilipo tiketi yake ya kuwania wadhifa wa useneta kaunti ya Machakos. Hii ni licha ya seneta huyo kudokeza kuwa  hatatetea kiti chake. Muthama pia amekanusha madai kuwa  alimsaliti Kalonzo katika majadiliano ya kutafuta kiongozi wa kupeperusha bendera ya NASA.

Show More

Related Articles