HabariMilele FmSwahili

wakenya 5 warejeshwa nchini kutoka marekani

Wakenya watano ni miongoni mwa watu 67 waliorejeshwa humu nchini kutoka Marekani. Raia wengine 67  pia wamewasili hapa jijini kutoka Marekani na wanatarajiwa kusafirishwa hadi Mogadishu Somalia. Watu hao wamerejeshwa Kenya huku Marekani ikiimarisha makabiliano dhidi ya wahamiaji haramu nchini humo.

Show More

Related Articles