HabariMilele FmSwahili

Jackson Musyoka akabidhiwa na Wiper cheti cha kuwania Useneta Machakos

Aliyekuwa muanjia ubunge Machakos Jackson Musyoka Kala amekabidhiwa cheti cha kuwania useneta kaunti hiyo na chama cha wiper. Kala anadai kushauriwa na uongozi wa Wiper kuwania useneta baada ya seneta wa sasa Johnstone Muthama kutangaza nia ya kugura Wiper.

Show More

Related Articles