HabariMilele FmSwahili

Watu 6 walazwa Thika Level 5 wakiugua Kimeta

Watu sita wamelazwa katika hospitali ya thika level 5 wakiugua maradhi ya Kimeta kwa jina la kiingereza Anthrax. Waathiriwa hao wanaaminika kuwa wahudumu katika kichinjio   kimoja eneo la Makongeni Thika.

Show More

Related Articles