HabariMilele FmSwahili

Zoezi la kusajili makurutu wapya langoa nanga

Zoezi la usajili wa makurutu wapya wa polisi limengoa nanga katika maeneo mbali mbali nchini. Idara ya polisi inanuia kuwateuwa makurutu wapya elfu 10 kujiunga na idara hiyo. Idara hiyo kwa ushirikiano na mamlaka ya IPOA pia zinasema zimeweka mikakati ya kuhakikisaha zoezi hilo linaendeshwa kwa uwazi na kuzuia visa vya ufisadi.

Show More

Related Articles