HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kina mama wajaribu kukabiliana na ugonjwa wa macho,Kajiado

Kulingana na mila na desturi za wamaasai nyumba hujengwa na wanawake.

Lakini sasa Manyatta hizi zimekuwa chanzo cha jamii hizi kupata ugonjwa wa Trachoma unaosambazwa na nzi ambao hubeba bacteria.
Manyatta hizi hazina hewa safi na hivyo nzi huwa wengi katika nyumba hizi.

Nancy Onyancha amerejea kutoka Magadi na anatuelezea jinsi jamii ya wamaasai imejitolea kubadilisha miundo ya nyumba hizo ili kupambana na ugonjwa wa Trachoma ingawaje kuna wale ambao wamedinda kufanya mabadiliko.

Show More

Related Articles