HabariMilele FmSwahili

Mitambo ya kisasa yawekwa kusaidia kutathmini hali ya hewa

Serikali ya kitaifa imeweka mitambo ya kisasa katika kaunti zote nchini, kusaidia kutathmini mabadiliko ya hali ya hewa. Waziri wa mazingira nchini Judy Wakhungu, amesema imekuwa vigumu kubashiri hali ya hewa, kutokana na mabadiliko ya anga kote duniani. Amesema kwamba mitambo itawezesha wakenya kujianda vyema kwa faida au hasara ya ukulima wao inaosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa.

Show More

Related Articles