HabariMilele FmSwahili

Viongozi wa bonde la ufa waitaka EACC kuwakomesha wanasiasa wasio na maadili

Viongozi wa kisiasa na wale wa dini kutoka bonde la ufa wamemtaka  Naibu Rais  William Ruto    kusaidia  kufutilia mbali  deni la wakulima  la muda  mrefu   la  shirika la kilimo na fedha AFC. Viongozi hao,wabunge  Oscar  Sudi wa Kapseret,Silas Tiren wa Moiben na  Samuel Chepkonga  wa Ainabkoi  wamesema  deni  hilo   limepelekea  wakulima wengi kanda hiyo kunyimwa mikopo katika   mashirika  ya  kupeana mikopo  hali ambayo imelemaza  kilimo   chao.Wakati uo huo,wameitaka tume ya kupambana na ufisadi EACC kuwafungia nje wanasiasa wasio na maadili kugombea nyadhfa za uongozi.

Show More

Related Articles