HabariMilele FmSwahili

Oparesheni ya kuwasaka wezi wa mifugo kuanza rasmi

Oparesheni ya kijeshi kuwasaka wezi wa mifugo katika kaunti 4 inatarajiwa kuanza leo.Hii ni baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuagiza kupelekwa wanajeshi kaunti za Baringo,Elgeyo Marakwet,West Pokot na Laikipia kurejesha hali ya utulivu.Rais anasema serikali haitakubali wananchi wasio na hatia kuendelea kuhangaishwa na watu wachache wanaojitakia makuu na watakabiliwa vilivyo.

Show More

Related Articles