HabariKameme FeaturesMilele FmSwahili

Walimu wakumbwa na dhiki nyingi

Asilimia 17.4 ya walimu wameathirika na mizozo ya kinyumbani hali iliyoathiri utendakazi wao. Ripoti iliyotolewa na wizara ya elimu inayoonyesha kuwa asilimia nyingine 16.6 ya walimu wameathirika na magonjwa. Katika ripoti hiyo iliyozinduliwa na mkurugenzi wa elimu nchini Leah Rotich imeonyesha idadi kubwa ya walimu pia wameathirika na matumizi ya dawa za kulevywa

Show More

Related Articles