HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili Videos

Ari Na Ukakamavu: ‘Wonder Kidz’

Kwenye makala ya ‘Ari na Ukakamavu’ tunaangazia familia moja eneo la Juja kaunti ya Kiambu, ambayo watoto wao watatu waliamua kushirikiana na kujitosa kwenye sanaa hii ya muziki licha ya umri wao mdogo.
Tunawaangazia The Wonder Kidz kama wanavyofahamika kwenye usanii, na kutuandalia taarifa hii kwenye makala ya Ari na Ukakamavu.

Show More

Related Articles