HabariMilele FmSwahili

Wabunge kinamama wapanga kongamano la kushinikiza wasichana kujiepusha na tamaduni ya ukeketaji

Muungano wa wabunge wa kike umeandaa kongamano la kushiniiza kumaliza ukeketaji wa wasichana na kutoa wito kwa wenyeji wa Kisii na Nyamira kujiepusha na tamaduni hiyo. Kongamano hilo liliwaleta pamoja akina mama ambao walikubaliana kuwapa elimu wanao. Seneta Janet Ongera na mwakilishi akina mama wa Kisii Mary Otara waliandaa kongamano hilo kuwapa uhamasisho akina mama kuhusu mbinu zingine za kuwatambulisha wasichana wao kama waliokomaa.

Show More

Related Articles