HabariMilele FmSwahili

Msako umeanzishwa dhidi ya wanaocheza kamari Keringet

Msako mkali umeanzishwa dhidi ya wanaocheza kamari na michezo mingine isiyokuwa halali eneo la Keringet, Kuresoi kusini.Naibu kamishna Evans Kaumo, michezo hiyo imeathiri maendeleo na kuchangia utovu wa usalama kaumo amethibitisha kutiwa nguvuni kwa watu kadhaa kufikia sasa huku akiwaonya wahusika kuwa chuma chao kimotoni.

Show More

Related Articles