HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Al Shabaab wavamia kituo cha polisi na kutoweka na silaha, Mombasa

Maafisa wawili wa polisi hawajulikani waliko baada ya wanaokisiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabaab kuvamia kituo cha polisi cha Hamsey katika kaunti ya Wajir. Aidha inasemekana wanamgambo hao walitoweka na silaha na gari la polisi huku maafisa 2 waliojeruhiwa wakisafirishwa hadi Nairobi kwa matibabu maalum.

Show More

Related Articles