HabariMilele FmSwahili

Jaji David Maraga apendekezwa kuwa jaji mkuu wa Kenya

Jaji David Maraga ameteuliwa kuwa jaji mkuu wa Kenya.Ni uteuzi uliofanywa na tume ya huduma za mahakama baada ya kuwahoji watu 14 waliokuwa wametuma maombi ya kujaza nafasi hiyo.Jina la Maraga sasa litawasilishwa kwa rais Uhuru Kenyatta kwa uteuzi rasmi.Mwenyekiti wa LSK Tom Ojienda ametetea uamuzi wa JSC kumteua Maraga.

Show More

Related Articles