HabariMilele FmSwahili

Maafisa zaidi watumwa kuimarisha usalama Garissa

Maafisa zaidi wametumwa kuimarisha usalama kaunti ya Garissa badaa ya waasi wa Al shabab kuvamia kituo cha polisi cha Hamey mapema leo na kutekeleza uharibifu. Inadaiwa wasi hao wamefanikiwa kuwajeruhi maafisa 2 huku wengine 4 wakiwa hawajulikani waliolo. Wamefanikiwa pia kutoweka na silaha,magwanda ya polisi pamoja na gari moja.

Show More

Related Articles