HabariMilele FmSwahili

Rais wa Botswana amtaka rais Mugabe kujiuzulu

Rais wa Botswana Ian Khama amemtaka mwenzake wa Zimbabwe Robert Mugabe kujiuzulu mara moja na kuruhusu mtu mwingine kuchukuwa uongozi wa taifa hilo linalokabiliwa na msukosuko wa uchumi na kisiasa. Khama amedai Mugabe hana tena uwezo wa kuinua uchumi wa nchi yake, na umri wake haumruhusu kukabiliana na hali hiyo.

Show More

Related Articles