HabariMilele FmSwahili

Visa vya wizi wa mifungo kwenye mpaka wa Narok na Bomet

Kamati ya usalama kaunti ya narok imelalamikia ongezeko la visa vya wizi wa mifugo kwenye mpaka wa narok na bomet . willy cheres mmoja wa wanakamati hiyo anasema takriban mifugo 42 wameibiwa katika muda wa mwezi mmoja uliopita, idadi anayosema ni juu.cheres aidha amedokeza kuwa mkutano utafanywa hapo kesho katika eneo la enelerai ili kutafuta mbinu za kukabili uovu huo.

Show More

Related Articles