HabariMilele FmSwahili

Maafisa 4 wa polisi watoweka baada ya kituo cha polisi Garissa kushabuliwa na Al shabbab

Maafisa 4 wa polisi hawajulikani waliko baada ya shambulizi lililotekelezwa na washukiwa wa Al Shabbab kwenye kituo cha polisi cha Hamey huko Liboi kaunti Garissa. Aidha maafisa 2 wamesalia na majeraha baada ya uvamizi huo. Washukiwa wanadaiwa kutoweka na bunduki kadhaa pamoja na gari la polisi. Maafisa wa GSU wametumwa kuwasaka.

Show More

Related Articles