HabariMilele FmSwahili

Mbunge wa Laikipia kaskazini Mathew Lempurkel amsuta Aden Duale

Mbunge wa Laikipia kaskazini Mathew Lempurkel amemsuta kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Aden Duale na kusema anatumiwa kuficha maovu yanayotendewa jamii za wafugaji nchini. Anadai hali hiyo imechagia pakubwa watu wa jamii hizo kukabiliwa na changamoto nyingi. Mbunge huyo ameelezea imani kuwa chama cha ODM kitatwaa ushindi katika uchaguzi mkuu ujao ili kukomboa jamii hiyo dhidi ya madhila inayotendewa.

Show More

Related Articles