HabariMilele FmSwahili

Mahakama yaruhusu wanawake 3 ambao ni washukiwa wa ugaidi Mombasa kuzuiliwa na polisi

Polisi huko Mombasa wameruhusiwa kuwazuiliwa washukiwa 3 zaidi wanaohusishwa na jaribio la shambulizi katika kituo cha polisi cha central.Hakimu wa mahakama ya Mombasa Henry Nyakweba ameagiza kuzuiliwa kwa watatu hao ili kukamilisha uchunguzi wa kubaini iwapo wana ushirikiano na mmoja wa washukiwa wa kike waliouwawa.hii ni baada ya rekodi kuonyesha Nasteho Ali Thalil, Luul Ali Thalil na Zamzam Abdi walikuwa wakiwasiliana na mshukiwa.

Show More

Related Articles