HabariMilele FmSwahili

Raila ameisuta serikali kwa kutotimiza baadhi ya ahadi walizotoa kwa wakenya

Kwa mara nyingine tena kinara wa ODM Raila Odinga ameisuta serikali kwa kukosa kutekeleza baadhi ya ahadi ilizotoa kwa wakenya. Akizungumza huko Mwatate mapema leo,Raila anasema swala tata la ardhi ni sharti liangaziwe kwa kina haswa eneo la Pwani. Aidha anadai usalama wa wenyeji pia ni miongoni mwa maswala yanayopaswa kupewa kipaumbele na uongozi wa JUBILEE

Show More

Related Articles