HabariMilele FmSwahili

Naibu OCS wa Salama ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa kwa kupokea hongo

Naibu OCS wa Salama juma makumu ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa kwa kupokea hongo ya shilingi 15,000 kutoka kwa dereva wa matatu kwenye barabara ya Mombasa Nairobi. Mkuu wa EACC eneo la mashariki Susan Kanyeki anasema mshukiwa atafikishwa mahakamani wiki ijayo baada ya uchunguzi kukamilika.

Show More

Related Articles