HabariMilele FmSwahili

Mruttu amtaka Raila kuzungumza na rais wa Tanzania kumaliza vikwazo vya kibiashara katika mpaka wa Kenya na Taveta

Gavana wa Taita Taveta John Mruttu amemtaka  kinara wa ODM Raila Odnga kutumia uhusiano mwema alio nao na rais wa  Tanzania John Pombe Magufuli , Kumaliza vikwazo vya kibiashara katika mpaka wa taifa hilo na Kenya huko Taveta. Mruttu amesema wafanyibiashara wakenya hawana uhuru wa kuendesha biashara  eneo  jambo ambalo  amelitaja kama kinyume na malengo ya jumuia ya afrika mashariki. Aidha amesema kitengo cha ardhi kinafaa kugatuliwa iwapo tatizo la ardhi litapata suluhu la kudumu nchini

Show More

Related Articles