HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili Videos

MGAAGAA NA UPWA: KUOKA KEKI

Hebu tafakari, umempeleka mtoto wako Chuo Kikuu na baada ya mwaka mmoja, akuarifu kuwa hataki kusoma anataka kuanza kuoka keki? Ni maamuzi ambayo aliyafanya Samuel Mwaura, kijana wa miaka 28, na wazazi wake wakaamua kumruhusu kuoka keki, japo shingo upande.
Sasa hivi, ni jamaa mtajika anayeoka keki, kwenye kaumpuni yake ndogo kwa jina Turrifiq Cakes. Hata hivyo, ameyapitia mengi kufanya maamuzi hayo.

Show More

Related Articles