HabariMilele FmSwahili

Kamati ya nidhamu ya ODM yapendekeza kufurusha wanachama 13 waasi

Kamati ya nidhamu katika chama cha ODM inapendekeza kufurushwa wanachama wake waasi 13.Waasi hao wanajumuisha wabunge 10 waliojiunga na Jubilee pamoja na magavana 2.hata hivyo baraza kuu la chama litatoa uamuzi wa mwisho kuhusiana na swala hilo.

Show More

Related Articles