HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Kitendo cha rais Uhuru Kenyatta cha kuchangamkia minofu ya nyama

Kitendo cha rais Uhuru Kenyatta cha kuchangamkia minofu ya nyama katika duka moja sokoni Kenyatta, kimeibua msisimko mkuu katika soko hilo. Barobaro waliompakulia nyama bado wanashangaa kutokana na upole wa rais, na wanasema kuwa ujio wa rais ni bahati ambayo hawakuwa wameilalia wala kuiamkia.

Show More

Related Articles