HabariMilele FmSwahili

Wazee wa kaunti ya Embu walaani malumbano yaliyoshuhudiwa baina ya Cecily Mbarire na Lenny Kivuti

Wazee kaunti ya Embu wamelaani vikali malumbano yaliyoshuhudiwa baina ya mbunge wa Runyenjes Cecily Mbarire na seneta Lenny Kivuti. Wazee hao wamewashutumu viongozi hao kwa kuchochea uhasama baina ya jamii.Wakiongozwa na John Gicangi wametoa wito kwa wanasiasa wote kuendesha kampeni zao kwa njia ya amani na kuhubiri utangamano miongoni mwa jamii za embu na mbeere. Wanasema wenyeji ndio watakaoamua nani anatosha kuwa gavana wa embu.

Show More

Related Articles