HabariMilele FmSwahili

Tume ya ardhi imeanza harakati ya kurejesha ekari 100 zilizonyakuliwa na mabwanyenye karibu na ziwa Naivasha

Tume ya ardhi imeanzisha harakati za kurejesha ardhi iliyonyakuliwa karibu na ziwa Naishava. tayari tume hiyo imefutilia mbali hati miliki ya ardhi ya ekari 100 inayomilikiwa na mabwenyenye hali.Hatua hiyo imkechangiwa na malalamishi ya baadhi ya watu wanaoishi karibu na ziwa hilo.Katika barua aliyoandikia serikali ya kaunti ya Nakuru na shirika la nema naibu mwenyekiti wa NIC Abigael Mbagaya amezitaka taasisi hizo kuhakikisha ardhi iliyorejeshwa inalindwa.

Show More

Related Articles