HabariMilele FmSwahili

Donald Trump apinga kutibiwa kwa mshukiwa wa mlipuko wa bomu jijini New York Marekani

Mgombeaji urais kwa tiketi ya Republican nchini Marekani Donald Trump amepinga mshukiwa wa mlipuko wa bomu jijini New York kutibiwa na kupokea wakili nchini humo. Trump amesema hali hiyo inaashiria ukosefu wa sheria dhabiti za kuislama nchini humo. Kauli yake hata hivyo imeshutumiwa na mpinzani wake Hillary Clinton akisema inawapa motisha magaidi kushambulia Marekani.

Show More

Related Articles