HabariMilele FmSwahili

Marble Mururi apinga agizo la wanawake wa kiislamu kuvua hijab wakiwa maeneo ya umma

Mgombeaji ugavana Kakamega Marble Muruli amekosoa agizo kwa wanawake waislamu kuvua hijab wakiwa katika maeneo ya umma kwa sababu za kiusalama. Akizungumza alipotembelea misikiti kadhaa kaunti ya Kakamega Bi Muruli anasema agizo hilo halifai na kuwa wasioukuwa na hatia hawafai kuadhibiwa katika mapambanio dhidi ya ugaidi.

Show More

Related Articles