HabariMilele FmSwahili

Kamati ya bunge ya CDF kutoa mwangaza kuhusiana na kuchelewa kutolewa billioni 25 za CDF

Kamati ya bunge kuhusu CDF itatoa mwangaza zaidi alasiri ya leo kuhusiana na kuchelewa kutolewa shilingi bilioni 25 za CDF. Hii ni baada ya wabunge kumtaka mwenyekiti wa kamati ya cdf, moses lessonet awasilishe leo mchana mgao wa pesa hizo zilizotengewa mwaka wa kifedha wa 2015/16.wabunge hao walitataiza mkao maalum uliandaliwa mapema leo asubuhi.

Show More

Related Articles