HabariMilele FmSwahili

KNEC kuwajibika zaidi kuzui udanganyifu katika mitihani ya kitaifa mwaka huu

Baraza la kitaifa la mtihani KNEC limetakiwa kuwajibika zaidi katika kuzuia wizi na udanganyifu wakati wa mitihani ya kitafa mwaka huu. Mbunge wa Lari Mburu Kahangara aidha anataka maafisa wa kusimia mtihani watakaopatikana na hatia kuadhibiwa badala ya wanafunzi.

Show More

Related Articles