HabariMilele FmSwahili

Jamii za Pokot na Marakwet zahimizwa kukomesha uvamizi na wizi wa mifugo

Gavana wa  Nandi Cleophas Lagat   amezitaka jamii za  Pokot na Marakwet  kukomesha swala la uvamizi na wizi wa mifugo akisema  limeathiri  utendakazi wa serikali za kaunti sehemu hizo. Lagat  amesema tabia hiyo imepitwa na wakati na kuzitaka jamii hizo  kukumbatia amani na kutokubali  kuchochewa kisiasa   wakati huu taifa linapojiandaa kwa uchaguzi mkuu mwakani.

Show More

Related Articles