HabariMilele FmSwahili

Somalia kutoa sababu zake za kuishitaki Kenya katika mahakama ya ICC

Somalia leo inaanza kutoa sababu zake za kuishitaki Kenya katika mahakama ya kimataifa ya haki kuhusiana na mzozo wa mpaka eneo la bahari Hindi. Somalia ilikwenda mahakamani mwaka 2014 kutaka swala hilo kuamuliwa na mahakama ikidai kenya inamiliki eneo lake kinyume cha sheria. Mkuu wa sheria Githu Muigai jana aliimabia mahakama ya ICC kuwa swala hili linapaswa kuamuliwa kwa mashauriano kwa mujibu wa makuabuliano ya amani yaliyotiwa saini na nchi zote mbili.

Show More

Related Articles