HabariMilele FmSwahili

Huenda wanaoishi na virusi vya HIV kuishi maisha marefu

Huenda wanaosihi na HIV wakaishi maisha marefu kutokana na tamko la wizara ya afya kwamba inashirikiana na watafiti wanaosaka tiba itakayopunguza makali ya virusi. Mtafiti wa shirika la NASCOP Ndung’u Thumbi anasema hatua hiyo itasaidia pia kukabiliana na magonjwa yanayoibuka miongoni mwa waathirwa wa HIV.

Show More

Related Articles