HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Zoezi la KDF kuwasajili watalaamu limeanza rasmi kote nchini

Shughuli za kuwasajili makurutu wapatao elfu mbili watakaojiunga na kikosi cha KDF imeanza rasmi na inatarajiwa kuendelea hadi tarehe kumi na nane Oktoba.
Idara ya jeshi imewaalika maafisa kutoka tume ya kupambana na ufisadi, wale wa shirika la Transparency International na majasusi kuhakikisha hakuna visa vya ufisadi.

Show More

Related Articles