HabariMilele FmSwahili

Mabalozi wa kigeni wahimiza kampeni za siasa kuendeshwa kwa amani

Mabalozi kadhaa wa nchi za kigeni wamehimiza kampeni za siasa kuendeshwa kwa njia ya amani wakati taifa likielekea katika uchaguzi mkuu ujao. Wameonya wanasiasa dhidi ya kuhusika katika uvunjaji sheria na kuchochea uhasama baina ya wananchi. Balozi wa Israel Yahel Vilain, Dkt. Ralf Heckner wa u Uswisi na Dkt Vincent Eil wa Ireland wamesema hatua zilizopigwa kimaendeleo nchini kamwe hazifai kuhujumiwa ka kampeni za kisiasa.

Show More

Related Articles