HabariMilele FmSwahili

Jeshi kuanza uteuzi wa makurutu 4000 kote nchini leo

Idara ya jeshi leo inaanza zoezi la kuwateuwa makurutu wapya 4000 kote nchini. Katika zoezi hilo la mwezi mzima wanaonuia kuteuliwa wanapswa kuwa na alama ya D mtihani wa KCSE. Aidha jeshi la KDF limeonya kuwachukulia hatua kali za kisheria watakaoshiriki ufisadi wakati wa zoezi hili.

Show More

Related Articles