HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Ikulu ya rasi yamlaumu gavana Munya kwa kusababisha marufuku ya miraa

Serikali imeonya magavana dhdi ya kuchukua majukumu ya kitaifa nje ya mpaka wa Kenya. Msemaji wa ikulu ya rais Manoah Esipisu aliyasema hayo kufuatia marufuku ya miraa inayodaiwa kusababishwa na Gavana wa kaunti ya Meru Peter Munya. Aidha Gavana Munya anadaiwa kufanya mazungumzo na Somalia kukiuka sheria za kidiplomasia ambapo agizo la nchi ya Somali kupiga marufuku ndege zote zinazoingiza miraa nchini humo lilitolewa.

Show More

Related Articles