HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

ODM wamtangaza Evans Kidero kuwa mgombeaji rasmi wa Ugavana Nairobi

Vigogo wa chama cha ODM walifanya miadi kukiimarisha chama hicho katika eneo la Mathare huku wakiongoza na naibu mwenyekiti wa chama Gavana Hassan Joho. Aidha joho aliandamana na Gavana Evans Kidero katika mkutano wa hadhara katika ukumbi wa Masinde Muliro katika eneo bunge la Mathare ambapo Kidero alihidhinishwa kama mgombezi wa Ugavana wa chama hicho.

 

Show More

Related Articles